1 Samuel 1:24
24 aBaada ya mtoto kuachishwa kunyonya, Hana akamchukua huyo mtoto, akiwa mdogo hivyo hivyo, pamoja na fahali wa miaka mitatu, efa ya unga ▼▼ Efa moja ya unga ni sawa na kilo 22.
na kiriba cha divai, naye akamleta mtoto kwenye nyumba ya Bwana huko Shilo.
Copyright information for
SwhKC